Muswada mpya nchini Uganda uhuru wa kujieleza

Sauti 10:03
Reuters/James Akena

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia muswada mpya ulioawasilishwa bungeni nchini Uganda kuhusu uhuru wa vyombo vya habari, kujieleza na mikusanyiko.