Mtazamo wako kwa yaliyojiri

Sauti 20:15

Miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na moto mkubwa wazuka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini kenya na kuathiri shughuliza usafiri, kwa mengine mengi fuatana na Ruben Lukumbuka. Karibu