Uchumi wa Zimbabwe

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe REUTERS/Philimon Bulawayo

Makala ya Gurudumu la uchumi hii leo linaangazia uchumi wa Zimbabwe hususan makala haya yanahoji  ni nini Mustakabali wa Zimbabwe baada ya Serikali mpya, baada ya uchumi kuwa duni kwa kipindi kirefu.