Matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria

Sauti 14:28

Wiki hii katika Mjadala wa Wiki tunajadili matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria.Ungana na Nurdin Selemani akiwa na wachambuzi wa kisiasa Robert Mkosamali ambaye ni Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino Mwanza Tanzania na Francis Onditi ambaye pia ni Mtalaam wa maswala ya usalama akiwa jijini Nairobi nchini Kenya.