Rasimu ya katiba mpya Tanzania kuhusu rasilimali

Sauti 09:51

Watanzania wanaendelea kuisoma rasimu ya Katiba Mpya kabla ya kupiga kura ya maoni kuamua ikiwa wanaiunga mkono au la.Je rasimu hii inazungumzia vipi  kulinda rasilimali za nchi hiyo ?Ungana na Emmanuel Makundi na mengi zaidi.