Wanafunzi nchini Liberia wafeli mtihani wa kujiunga Chuo Kikuu

Sauti 10:09

Serikali nchini Liberia imetangaza kuwa wanafunzi 25,000 walifeli mtihani wa kujiunga na Chuo Kikuu cha serikali nchini humo.Wengi wa wanafunzi hao hawakuweza hata kujieleza kwa lugha ya Kiingereza.Tunajadili suala hili katika kipindi cha Habari Rafiki na Flora Mwano.