Miaka 50 ya ndoto ya mwanaharakati Martin Luther King Junior nchini Marekani

Sauti 10:04

Tarehe 28 mwezi Agosti ilikuwa ni miaka 50  kukumbuka hotuba ya kihistoria ya  mwanaharakati kutoka nchini Marekani Martin Luther King Junior  kuhusu ndoto aliyonayokuwa nayo kuhusu usawa  nchini humo.Tunajadili suala hili katika makala haya ya Habari Rafiki