Mzozo wa Syria

Sauti 09:51

Makala ya Wimbi la Siasa wiki hii yanazungumzia mzozo wa Syria na hatua za Mataifa ya Magharibi kutaka kuivamia kijeshi baada ya kutumika kwa silaha za kemikali.Ungana na Victor Robert Wile kwa uchambuzi wa kina.