Gurudumu la Uchumi

Jumuiya ya Afrika Mashariki matatani kiuchumi

Sauti 09:28
Viongozi wa Uganda, Kenya na Rwanda wakati wa ufunguzi wa gati mpya ya bandari ya Mombasa
Viongozi wa Uganda, Kenya na Rwanda wakati wa ufunguzi wa gati mpya ya bandari ya Mombasa Reuters

Mtangazaji wa makala hii, juma hili ameangazia vuguvugu la hivi karibuni kuhusu hatua ya maraia wa Kenya, Uganda na Rwanda kutangaza kutiliana saini mikatabaa kadhaa ya ushirikiano pamoja na kufungua gati mpya ya bandari ya Mombasa hali ambayo imezua mitazamo tofauti kuhusu ushirikiano wa kiuchumi kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki.