Gurudumu la Uchumi

Jinsi gani nchi za Somalia na DRCongo zaweza kujikwamua kuondokana na vita na kukuza uchumi

Sauti 09:57

Ungana naye Emmanuel Makundi katika makala haya ambapo anazungumzia kuhusu jinsi gani nchi za Somalia na DRCongo zaweza kuondokana na vita na kukuza uchumi wake