Wimbi la Siasa

Mpango wa Nyuklia wa Iran

Imechapishwa:

Rais mpya wa Iran amesema nchi yake haina mpango wa kutengeneza silaha za nyuklia, na hilo ameligusia katika mazungmzo yake na rais wa Marekani Barack Obama ambaye amesema watatoa bahati nyingine kwa serikali hiyo juu ya mpango wake wa nyuklia.

rais wa Iran Hassan Rohani
rais wa Iran Hassan Rohani
Vipindi vingine