Gurudumu la Uchumi

Athari za ugaidi katika sekta ya uchumi

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazi namna ambavyo vitendo vya ugaidi vimekuwa vikirudisha nyuma jitihada mbalimbali katika sekta ya uchumi katika bara la Afrika na duniani kwa ujumla, Emmanuel Makundi atakujuza mengi zaidi katika makala haya.

REUTERS/Noor Khamis
Vipindi vingine