Uganda yaadhimisha miaka 51 ya Uhuru

Sauti 10:11

Uganda imeadhimisha miaka 51 ya Uhuru wao.Leo katika kipindi hiki cha Habari Rafiki tunaangazia mafanikio na changamoto zinazowakabili wananchi wa taifa hilo miaka 51 baada ya kuwa huru kutoka kwa minyororo ya Wakoloni wa Uingereza.Ungana na Sabina Nabigambo kwa mengi zaidi.