Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike

Sauti 10:03

Ijumaa hii katika Makala ya Habari Rafiki tunaangazia siku ya Kimataifa ya mtoto wa Kike na changamoto ya upatikanaji wa elimu hasa barani Afrika.Ungana na Emmanuel Makundi kwa mengi zaidi.