Mwaka mmoja wa usafiri wa Treni jijini Dar es salaam Tanzania

Sauti 10:18

Makala ya leo ya Habari Rafiki  tunaangazia mwaka mmoja wa usafiri wa Gari Moshi jijini Dar es salaam Tanzania.Je, usafiri huu umekuwa na manufaa gani kwa wakaazi wa Dar es salaam ?Ungana na Ebby Shaban Abdala kwa mengi zaidi.