Wimbi la Siasa

Miaka 50 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Sauti 10:01

Makala haya ya “Wimbi la Siasa” yanaangazia hali ya mambo visiwani Zanzibar, wakati Zanzibar ikiadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi yaliyotokea Januari 12 mwaka 1964. Ungana na Victor Robert Wille kwa uchambuzi zaidi....