Wimbi la Siasa

Hali inayojiri nchini Sudan Kusini

Sauti 10:04
Wajumbe kutoka pande mbili husika katika mgogoro wa Sudan Kusini wakishiriki mazungumzo, mjini Addis-Ababa
Wajumbe kutoka pande mbili husika katika mgogoro wa Sudan Kusini wakishiriki mazungumzo, mjini Addis-Ababa RFI

Makala haya ” Wimbi la Siasa”, yanaangazia hali ya mambo inayojiri nchini Sudan Kusini, huku pande mbili husika katika mgogoro nchini humo zikiwa zinashiriki mazungumzo ya kusaka amani katika taifa hilo changa.Ungana na Victor Robert Wile.........