Jua Haki Zako

Hukumu ya kifo

Sauti 08:03
Majaji wakitangaza hukumu waliyochukua
Majaji wakitangaza hukumu waliyochukua RFI

Makala haya ya” Jua Haki Zako” yanaangazia kuhusu hukumu ya kifo, ambayo ni moja kati ya adhabu katika baadhi ya mataifa ulimwenguni. Lakini baadhi ya mataifa yalifuta adhabu hio yakibaini kwamba yanakiuka haki za binadamu. Hata dini mbalimbali zinapinga adhabu ya hukumu ya kifo.Ungana na Karume Asangama........