Wimbi la Siasa

Mgogoro wa Sudan Kusini waingia katika sura mpya baada Serikali kuwaachi watu waliokuwa wakishikiliwa.

Sauti 09:52
Rais wa sudan Kusini, Salva Kiir
Rais wa sudan Kusini, Salva Kiir RFI

Serikali ya Sudan Kusini imewaachilia huru wafuasi wa makamu wa zamani wa Rais wa nchi hiyo Riekh Machar wapatao saba na inaendelea kuwashikilia wengine ambao wanafunguliwa mashtaka kwa mujibu wa sheria za Sudan Kusini.Makala ya Wimbi la Siasa hii leo itajikita kujadili hatua hiyo ambayo imepokelewa kwa hisia na mitizamo tofauti, fuatilia makala hii hili ujue undani wa suala hili na nini kimejificha nyuma ya pazia..............