Gurudumu la Uchumi

deni la taifa nchini Tanzania (sehemu ya pli)

Sauti 09:56
Bendera ya taifa la Tanzania
Bendera ya taifa la Tanzania RFi

Juma hili kwenye makala ya gurudumu la uchumi mtangazaji ameendelea na sehemu ya pili ya mada kuhusu deni la taifa nchini Tanzania ambalo limefikia kiasi cha trilioni 27 hali ambayo wataalamu wa masuala ya uchumi wanasema ni hatari kwa ukuaji wa uchumi wa taifa lolote duniani na hasa ambalo hutegemea kwa sehemu kubwa fedha za wafadhili.Amezungumza na mtaalamu wa masuala ya uchumi toka jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, Dr, Oswald Mashindano...........