Mjadala wa Wiki

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC

Sauti 14:14
RFI

Mjadala wa wiki hii leo unaangazia kikao cha majaji wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ya ICC ambapo wataamua kuhusu kesi dhidi ya rais Kenyatta. Nini musatakabali wa kesi hi, na je ni kweli kuwa mwendesha mashtaka wa Serikali amekosa ushahidi wa kutosha kuendelea na kesi? Ungana na mtangazaji Emmanuel Makundi akiwa na wachambuzi wake, Wakili Ojwan'g Agina na mchambuzi wa masuala ya siasa, Ngari Githuku wote wakiwa Nairobi nchini Kenya.