Wimbi la Siasa

Miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi

Sauti 10:13
Bendera ya taifa la Tanzania
Bendera ya taifa la Tanzania RFI

Chama cha Mapinduzi amabacho ni chama tawala nchini Tanzania hivi karibuni kiliadhimisha miaka 37 tangu kuundwa kwake Februari 5, 1977 baada ya TANU na ASP kuungana.Makala ya Wimbi la Siasa juma hili inaangazia tukio hilo wakati huu Tanzania ikiendelea na mchakato wa katiba mpya. Fuatilia makala haya upate undani wa mada hii.....................