Gurudumu la Uchumi

Mwaka wa kilimo 2014

Sauti 10:16
Kikao cha 22 cha  viongozi wa mataifa ya bara la Afrika kuhusu mwaka wa kilimo, mjini Addis-Ababa, alhamisi januari30 mwaka 2014
Kikao cha 22 cha viongozi wa mataifa ya bara la Afrika kuhusu mwaka wa kilimo, mjini Addis-Ababa, alhamisi januari30 mwaka 2014 AFP na SAMUEL GEBRU

Makala haya ya “Gurudumu la Uchumi”, yanaangazia mwaka wa kilimo wa 2014, baada ya viongozi wa Umoja wa Afrika kupitisha azimio linaloutangaza mwaka 2014 kua mwaka wa kilimo. Hayo ni wakati wakulima barani Afrika wanakabiliwa na changamoto mbalimbali katika kufikia malengo na matarajio yenye viongozi wa bara la Afrika wanayo.Ungana na Emmanuel Makundi...........................