Mjadala wa Wiki

Ziara ya rais Hollande nchni Marekani

Sauti 14:21
Rais Francois Hollande (kushoto) na mwenyeji wake Barack Obama (kulia)
Rais Francois Hollande (kushoto) na mwenyeji wake Barack Obama (kulia) RFI

Makala haya “Mjadala wa Wiki”, yanaangazia juu ya ziara ya rais wa Ufaransa Francois Hollande nchini Marekani katika nyanja ya kisiasa na mazingira ya ziara hii.Ungana na Ally Bilali........................