Mjadala wa Wiki

Bunge la katiba mpya tanzania

Sauti 13:23
Bunge mjini Dodoma, nchni Tanzania
Bunge mjini Dodoma, nchni Tanzania RFI

Makala haya ya “Mjadala wa Wiki”, yanaangazia kuhusu kikao cha bunge la katiba kiliyoanza tangu hio jana kwa kujadili rasimu ya katiba mpya, moja kati ya masuala nyeti katika kikao hiki ni muundo wa serikli unaowafaa wa tanzania.Ungana na Rubin Lukumbuka..........................