Mjadala wa Wiki

Mashoga nchini Uganda wakabiliwa na sheria kali

Sauti 14:11
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni

Makala haya “Mjadala wa Wiki”, yanaangazia kuhusu muswada wa sheria inayopinga mapenzi ya watu wa jinsia moja uliyoidhinishwa na bunge la Uganda na kutiliwa saini hivi karibuni na rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, na kuwa moja kwa moja sheria. Baadhi ya mataifa ya magharibi yametishia kusitisha uhusano wao na Uganda.Ungana na Emmanuel Makundi........................