Mzozo wa Crimea

Sauti 14:30
Jeshi la  Urusi linawakamata maafisa wa Ukraine katika mji wa Simféropol.
Jeshi la Urusi linawakamata maafisa wa Ukraine katika mji wa Simféropol. Alisa Borovikova / AFP/

Makala haya ya Mjadala wa Wiki, inaangazia kuhusu mchango wa Jumuiya ya Kimataifa wa kutatua mzozo wa kisiwa cha Crimea kiliyojetenga na Ukraine na kujiunga na Urusi.Ungana na Ruben Lukumbuka..............................