Wimbi la Siasa

Mzozo nchini Sudan Kusini

Sauti 09:38
Wanajeshi wa serikali ya Sudan Kusini
Wanajeshi wa serikali ya Sudan Kusini

Umoja wa Mataifa unaonya kuwa ikiwa suluhu la haraka halipatikana nchini Sudan Kusini na kutatua mzozo unaoendelea kati ya wanajeshi wa serikali na waasi, nchi hiyo itashuhudia mauaji ya kimbari kama ilivyokuwa nchini Rwanda mwaka 1994.Mazungumzo ya amani yameanza tena jijini Addis Ababa nchini Ethiopia lakini wengi wanajiuliza je, suluhu linapatikana lini ?Pata uchanganuzi wa kina katika makala ya Wimbi la Siasa.