Wimbi la Siasa

Uchaguzi Mkuu nchini Afrika Kusini

Sauti 10:00
Wananchi wa Afrika Kusini wanapiga kura
Wananchi wa Afrika Kusini wanapiga kura REUTERS/Mike Hutchings

Wapiga kura Milioni 25 nchini Afrika Kusini, juma hili wamepiga kura kuwachagua wabunge ambao baadaye watamchagua rais.Chama tawala  cha ANC kinachoongozwa na rais Jacob Zuma  kinaelekea kupata ushindi mkubwa licha ya baadhi ya viongozi wa chama hicho  kukabiliwa na tuhma za ufisadi.Tunaijadili hili katika Makala ya Wimbi la Siasa.