Wimbi la Siasa

Kauli iliyotolewa na rais wa Uganda dhidi ya wapinzani wake

Sauti 09:57
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akisabahi umati wa wapiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Rushere, nchini Uganda, Februari 18 mwaka 2011.
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akisabahi umati wa wapiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Rushere, nchini Uganda, Februari 18 mwaka 2011. REUTERS/Thomas Mukoya

Makala haya Wimbi la Siasa inaangazia kauli iliyotolewa hivi karibuni na serikali ya Uganda inayoongozwa na rais Yoweri Kaguta Museveni ya kuwataka wapinzani wake kusubiri kuongoza taifa hilo baada ya mwaka 2056. Kauli hii imeibua hisia tofauti, huku wengine wakihoji mantiki ya kauli iliyotolewa na kiongozi huyo alietawala taifa hilo tangu mwaka 1986.