Mjadala wa Wiki

Uchaguzi Mkuu nchini Malawi

Imechapishwa:

Mjadala wa wiki juma hili tunajadili kuhusu Uchaguzi Mkuu nchini Malawi.                        Ni uchaguzi wenye ushindani mkubwa kati ya rais wa sasa Joyce Banda, na wapinzani Peter Mutharika na mchungaji Lazarus Chakwera.Kumekuwa na tuhma za wizi wa kura na pia machafuko kuripotiwa katika mji wa Blantyre. 

Upigaji kura nchini Malawi
Upigaji kura nchini Malawi