Uchaguzi wa urais nchini Misri

Sauti 11:50
Mpiga kura nchini Misri
Mpiga kura nchini Misri REUTERS/Asmaa Waguih

Raia wa Misri juma hili wamepiga kura kumchagua rais wao baada ya jeshi kumwondoa madarakani Mohammed Morsi mwaka uliopita.Aliyekuwa kiongozi wa jeshi Abdel Fattah Al-Sisi anatarajiwa kuibuka mshindi.Juma hili katika Mjadala wa wiki, tunajadili uchaguzi huu na siasa  za Misri.