Wimbi la Siasa

Miaka 51 ya Umoja wa Afrika AU ni yapi yakuangaziwa

Sauti 10:02
Baadhi ya wakuu wa mataifa ya Afrika,walipohudhuria mkutano wa kiusalama Paris
Baadhi ya wakuu wa mataifa ya Afrika,walipohudhuria mkutano wa kiusalama Paris

Makala ya wimbi la siasa juma hili inaangazia maadhimisho ya miaka 51 ya Umoja wa Afrika na uwezo wake katika kufafuta suluhu ya mizozo barani humu.Wataalamu wa siasa na mizozo wanaangazia hili.