Habari RFI-Ki

Taharuki Mpeketoni Kenya baada ya shambulizi la kigaidi

Sauti 10:04
Miili ya wanaume 48 ambao wameuawa katika shambulizi huko Mpeketoni Pwani ya Kenya
Miili ya wanaume 48 ambao wameuawa katika shambulizi huko Mpeketoni Pwani ya Kenya Reuters

Makala ya habari rafiki hii leo inawaangazia wakenya ambao wanatoa hisia zao kufuatia muendelezo wa mashambulizi ya kigaidi katika Pwani ya Kenya eneo la Mpeketoni ambapo wanaume 48 wamepoteza maisha na mali kuharibiwa.