Habari RFI-Ki

Usalama Afrika ni tete wakati huu watu wakikusanyika kufuatilia kombe la dunia

Sauti 09:01
Waziri wa Usalama nchini Kenya Joseph Ole Lenku
Waziri wa Usalama nchini Kenya Joseph Ole Lenku

Makala haya hii leo yanaangazia suala la usalama katika maeneo mbalimbali barani Afrika linavyozidi kupata changamoto,ikiwa ni baada ya mashambulizi nchini Kenya ambapo watu 48 walipoteza maisha ,Nigeria watu 20 walipoteza maisha na wengine kujeruhiwa.Je mamlaka barani Afrika zinachukua tahadhari gani kuimarisha usalama?