Siasa na usalama barani Afrika
Imechapishwa:
Sauti 10:00
Juma hili, Uganda imetangaza kuwa itatuma wanajeshi zaidi nchini Somalia kupambana na kundi la kigaidi la Al Shabab.Uganda inaongoza kuwa na wanajeshi wengi wa Umoja wa Afrika AMISOM ambo una zaidi ya wanajeshi 20,000.Je, utumizi wa jeshi una nafasi gani katika utatuzi wa migogoro na upatikanaji wa mwafaka wa siasa barani Afrika