Habari RFI-Ki

Mzozo wa Gaza,dunia inautilia maanani?

Sauti 09:11
Hali ya mambo si shwari huko Gaza baada ya makabiliano kati ya Israel dhidi ya Hamas
Hali ya mambo si shwari huko Gaza baada ya makabiliano kati ya Israel dhidi ya Hamas REUTERS/Ibraheem Abu Mustafa

Makala haya hii leo inaangazia hali ya mzozo unaoendelea kufukuta huko Gaza wakati huu idadi ya watu wanaopoteza maisha kufuati mapigano ikitajwa kuongezeka,majeshi ya Israel yanaanza harakati za kuharibu njia za ardhini zinazotumiwa na wapiganaji wa Hamas kuingia kuishambulia Israel,.wasikilizaji wana yapi ya kusema?je dunia inachukuliaje mzozo huu?