Gurudumu la Uchumi

Sehemu ya pili ya makala kuhusu tatizo la Ajira kwa vijana barani Afrika

Sauti 10:05
Baadhi ya vijana barani Afrika ambao hawana ajira
Baadhi ya vijana barani Afrika ambao hawana ajira Reuters

Juma hili kwenye makala ya Gurudumu la Uchumi tunakuletea sehemu ya pili ya makala ya juma lililopita kuhusu tatizo la ukosefu wa ajira kwa Vijana katika nchi za Bara la Afrika.