Gurudumu la Uchumi
Tamati ya mkutano kati ya viongozi wa Afrika na Marekani
Imechapishwa:
Cheza - 10:09
Juma hili kwenye makala ya Gurudumu la uchumi tunaangazia mkutano wa wakuu wa nchi za Afrik walioufanya na rais wa Marekani Barack Obama, mkutano uliolenga kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi na Marekani.Je mkutano huu ulikuwa na tija yoyote kufanyika kwa wakati huu? Sikiliza makala haya kupata uchambuzi wa kina.