Gurudumu la Uchumi

Siku ya kimataifa ya Vijana

Sauti 09:19
@rfi/mesa

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia siku ya kimataifa ya Vijana ambayo iliadhimishwa diniani kote juma hili huku vijana wakipewa wito wa kutumia fursa zilizoko kujikwamua kiuchumi na kusaidia nchi zao.Suala la saikolojia pia lilijadiliwa kwa kina kuhusu namna ambavyo afya ya akili ni muhimu kutolewa kwa vijana.