Wimbi la Siasa

Hali inayojiri katika ukanda wa Gaza

Sauti 10:05
Wanajeshi wa Israeli wakiendelea na mashambulizi katika ukanda wa Gaza. Julai 31 mwaka 2014.
Wanajeshi wa Israeli wakiendelea na mashambulizi katika ukanda wa Gaza. Julai 31 mwaka 2014. REUTERS/Baz Ratner

Katika makala haya Wimbi la Siasa inaangazi hali inayojiri katika ukanda wa Gaza, baada ya Isreli kuaapa kuendelea na operesheni ya kijeshi katika ukanda huo ili kuishawishi Hamas iache kurusha makombora katika aridhi ya Israeli. Mapigano Hayo yamesababisha vifo vya watu kutoka pande zote mbili, licha ya jitihada za kimataifa za kutaka kusitishwa kwa mapigano.