Gurudumu la Uchumi

Juhudi zinahitajika kuboresha Jumuiya ya Afrika Mashariki: Trade Mark East Africa

Sauti 10:06
Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa Rwanda, Paul Kagame (kushoto) na rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni (kulia).
Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa Rwanda, Paul Kagame (kushoto) na rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni (kulia). Reuters

Moja ya changamoto kubwa katika jumuiya ya Afrika Mashariki ni uwezeshwaji wa wananchi pamoja na mashirika ya kijamii katika kushiriki kikamilifu kukuza uchumi na maendeleo ya kanda.Juma hili kwenye makala ya Uchumi mtangazaji ameangazia taasisi isiyo ya kiserikali ya Trade `Mark East Africa ambayo imekuwa ikishiriki kuhamasisha na kuchochea maendelea ya kanda.