Mjadala wa Wiki

Vita dhidi ya kundi la ISIS itafanikiwa?

Imechapishwa:

Juma hili kwenye mjadala wa wiki tunajadili kuhusu mkutano wa mataifa ya magharibi uliofanyika Jumatatu ya wiki hii jijini Paris Ufaransa, ambapo kufuatia juhudi za Marekani nchi hizo zimekubaliana kuongeza nguvu zaidi kukabiliana na kundi la kiislamu la Islamic State.Wachambuzi wetu ni Wakili Ojwan'g Agina akiwa Nairobi, Kenya na Abdulkarim Atiki akiwa Dar es Salaam, Tanzania.

REUTERS