Uchumi wa Kenya waendelea kuimarika licha ya tishio la ugaidi
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:06
Mtangazaji wa makala hii, juma hili ameangazia ripoti mpya inayoonesha ukuaji mkubwa wa uchumi wa Kenya, na kulifanya taifa hilo kuwa taifa la 4 kwa uimara wa uchumi kusini mwa nchi za Jangwa la Sahara, na ya 9 kwa Afrika ikizipiku nchi za Ghana na Tunisia.