Gurudumu la Uchumi

IMF: Bado dunia inakabiliwa na mdororo wa uchumi

Sauti 09:33
REUTERS/Kevin Lamarque

Mtangazaji wa makala hii, juma hili anaangazia mkutano wa kimataifa wa uchumi unaoanza juma hili mjini Washington, Marekani, mkutano ulioandaliwa na shirika la fedha duniani IMF pamoja na benki ya dunia.Mkutano huu unalenga kujadili hali ya uchumi wa dunia wakati huu wataalamu wakionya kuhusu kuendelea kushuhudiwa kwa mzozo wa uchumi kwenye mataifa yaliyoendelea hali inayofanya hata ukuaji wake kuwa mdogo kinyume na ilivyotarajiwa.