Gurudumu la Uchumi

Mradi wa reli ya Uganda utawanufaisha vipi wananchi wa Afrika Mashariki

Sauti 10:21
Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa Rwanda, Paul Kagame (kushoto) na rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni (kulia).
Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa Rwanda, Paul Kagame (kushoto) na rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni (kulia). Reuters

Mtangazaji wa makala hii, juma hili ameangazia mradi wa ujenzi wa reli ya Uganda inayounganisha na nchi ya Kenya na Sudan Kusini, ambapo wanajadili namna ujenzi wa reli hii utakavyowanufaisha wananchi wa ukanda wa Afrika Mashariki.