Gurudumu la Uchumi

Uhalisia wa hotuba ya rais Kagame kuhusu uchumi wa Rwanda

Sauti 09:50
Rais wa Rwanda, Paul Kagame
Rais wa Rwanda, Paul Kagame REUTERS/Ruben Sprich

Mtangazaji wa makala hii juma hili ameangazia kuhusu hotuba aliyoitoa rais wa Rwanda jijini London nchini Uingereza wakati akihutubia katika chuo kikuu cha jijini London kinachohusika na masuala ya kimataifa na kusisitiza kuwa uchumi wa nchi yake umeimarika ukilinganisha na kipindi cha miaka 20 iliyopita toka kutokea kwa mauji ya kimbari.

Matangazo ya kibiashara

Je kauli ya rais Kagame ina mantiki yoyote kwa ukuaji wa uchumi wa taifa lake na ukanda wa Afrika Mashariki? Hili ni suala ambalo mtangazaji na wachambuzi wa masuala ya uchumi wanaenda kulijadili kwa kina.