Gurudumu la Uchumi

Machinga wanahitaji elimu ya ujasiriamali

Sauti 08:53
Sehemu ya wafanyabiashara wadogo katika soko la Machinga jijini Dar es Salaam
Sehemu ya wafanyabiashara wadogo katika soko la Machinga jijini Dar es Salaam RFI

Mtangazaji wa makala hii juma hili ameangazia changamoto ambazo wanakabiliana nazo wafanyabiashara wadogo katika miji mikuu nchini Tanzania, wengi wanadai hawana elimu ya kutosha ya ujasiriamali.