Gurudumu la Uchumi

Uimarishwaji wa uchumi kupitia utalii wa ndani

Sauti 10:10
Kivutio cha watalii cha Fort-Jesus mjini  Mombasa nchini Kenya
Kivutio cha watalii cha Fort-Jesus mjini Mombasa nchini Kenya Wikipedia/Domaine public

Wananchi wa Kenya wanatumia kipindi hiki cha Krismasi na mwaka mpya kutalii hasa Pwani ya nchi hiyo, wakati huu watalii wa kigeni hasa kutoka barani Ulaya wakiepuka eneo hilo kwa hofu ya kiusalama.Utalii wa ndani unaweza  kusaidia vipi kuinua uchumi wa nchi za Afrika Masharki na kwingineko barani Afrika ?