Gurudumu la Uchumi

Matumizi mazuri ya fedha wakati Sikukuu

Sauti 10:20

Ni wakati wa shamrashamra za Krismasi na mwaka mpya, je wewe hutumia vipi fedha wakati huu wa sherehe ?Pata ushauri wa mtaalam wa uchumi katika Makala haya ya Gurudumu la Uchumi.